MichezoUncategorized

Wakili wa Jamali Malinzi ajiondoa

Wakili Jerome Msemwa, ambaye yupo katika kampuni ya mawakili ya Msemwa, amejitoa katika kesi Na. 213/2017 iliyokuwa ikimkabiri Rais wa TFF Jamal Malinzi na wenzake.

Wakili huyo ametaja moja ya sabu ya kujiondoa ni kutokana na kutopata maelekezo sahihi kutoka kwa wateja wake.

Soma Barua Hapo:

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents