Burudani

Wakili wa Soudy Brown, Maua Sana na wengine 5 afunguka sababu ya kufungua kesi Kisutu (Video)

Wakili kutoka Law Guards Advocates Jebra Kambole amefungua kesi namba 13 ya 2018 katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es salaam ya kuwaombea dhamana watuhumiwa saba akiwemo, Soudy Brown, Maua Sama, Shaffih Dauda, MC Luvanda, MX wengine wawili baada ya kushikiliwa na polisi kwa zaidi ya wiki moja kwa tuhuma tofauti tofauti.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents