Burudani

Wakili wa Wema Sepetu afunguka ‘Mteja wangu aliumwa tumbo la ghafla akiwa Kisutu’ (Audio)

Wakili wa Wema Sepetu, Ruben Simwanza afunguka sakata la mteja wake kukamatwa baada kushindwa kutokea Mahakamani “Wema alifika mahakamani lakini akaumwa tumbo la ghafla, kesho asubuhi tutaangalia namna gani tunaweza kumsaidia mteja wetu”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents