Burudani ya Michezo Live

Wakufunzi wa mabaunsa wa kuwalinda wasanii ‘TPSIS’ waandaa tamasha Bodies and Bouncer (Video)

Mabaunsa kutoka TPSIS ambao wanafanya kazi ya kuwalinda mastaa wakubwa, watapamba Tamasha la Bodies and Bouncer ambalo litafanyika tarehe 26 mwezi wa pili ambapo pia siku hiyo muimbaji, Finest atazinduzi audio mbili na video mbili. Mabaunsa hao pamoja na uongozi wa TPSIS, wamefunguka kuzungumzia mengi yanayozungumzwa kuhusu namna wanavyofanya kazi na malipo yao.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW