Tupo Nawe

Wale kumshirikisha Wizkid kwenye albam ijayo

Msanii wa Marekani mwenye asili ya Nigeria, Wale amesema atamshirikisha Wizkid kwenye albam yake ijayo, ‘The Gifted’ itakayotoka June 25, 2013.

wale

Rapper huyo aliye chini ya label ya Maybach Music Group aliweka wazi taarifa hiyo kwenye mtandao wa Twitter.

‘Best believe I got some new music for that green white green on my new album.. Ask @wizkidayo‘, aliandika Wale.

Awali ya hapo Wale alimzungumzia Wizkid kama msanii anayemkubali zaidi Afrika.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW