Moto Hauzimwi
TECNO Spark 2

Walichokiandika mastaa duniani kuhusu maafa ya Houston

Mastaa wakubwa duniani wameendelea kutuma salamu mbalimbali za pole kutokana na maafa yaliyoyakumba mji wa Texas katika jimbo la Houston kwa kufunikwa na mafuriko ambayo yamesababisha baadhi ya vifo na maelfu ya watu kukosa makazi.

Baadhi ya mastaa hao waliotuma salamu hizo pamoja na kuchangia kiasi cha fedha ni Kim Kardashian aliyetoa dola 500,000, Dj Khaled ametoa dola 25,000, Nicki Minaj kiasi cha dola 25,000, Kevin Hart kuchangia dola 100,000 na wengine.


Hali ilivyo katika jimbo la Houston kwa sasa

Hizi ni baadhi ya salamu za mastaa mbalimbali.

Kim Kardashian
Houston we are praying for you! My mom, sisters & I will be donating $500,000 to @redcross and @salvationarmyus today #HoustonStrong

Chris Brown
❤️ AND IM SKEPTICAL ABOUT RED CROSS SO MY DONATION WILL GO TO THE PEOPLE!

Dj Khaled
HOUSTON TEXAS my prayers are wit you ! I just sent 25k your way to help all the families in need and help the city HOUSTON TEXAS ?? @kevinhart4real I accepted your challenge @kevinhart4real bless up ! GOD IS THE GREATEST!!!

Beyonce
Texas you are in my prayers

Nicki Minaj
I’ll donate 25K for Houston. Praying for everyone there. Great work

Kevin Hart
Help me help Houston as well as the other cities that are being affected by Hurricane Harvey….I will be able to track this money and make sure that it is being used properly. Keep your head up Houston & keep your faith. I love you all & my prayers are with you!!!! Click the link in my Bio….I will be calling out celebs daily. You also don’t have to be a celebrity to donate….Any and everybody can click the link and help out!!!!

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW