DStv Inogilee!

Walichokiandika Rashford, Crouch na Ferdinand kuhusu bao la Ronaldo dhidi ya Juventus

Goli la pili la Cristiano Ronaldo alilofunga dakika ya 64 kwenye robo fainali ya UEFA usiku wa jana dhidi ya Juventus limeteka vichwa vingi vya habari duniani hasa kutokana na style aliyofungia (Tiki Taka).

Sio mashabiki wa soka tu ambao wameonyesha kufurahishwa na bao hilo bali hata wachezaji wengine pia wamelikubali goli hilo ambalo beki wa Madrid, Dani Carvajal alisema bao hilo litabakia kwenye historia ya soka.

Marcus Rashford, Peter Crouch na Rio Ferdinand wameandika ujumbe kupitia mtandao wa Twitter kuhusu bao hilo.

Marcus Rashford
Cristiano Ronaldo is a joke 😱 what a player! 🔥🔥🔥

Peter Crouch
There is only a few of us who can do that

Rio Ferdinand
Studio Action from last night… watching Greatness! Don’t be comparing @cristiano overhead kick to @waynerooney’s vs Man City which came of his shin… Morning Wazza!! 🤣🤣 @btsportfootball

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW