Habari

Walichokifanya wafuasi wa Chadema Mahakama ya Kisutu (+video)

Baadhi ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) wamejitokeza katika Mahakama ya Hakimu mkazi kisutu huku wakiendelea kuimba nyimbo za kuwataka viongozi wao waachiwe huru mbele ya askari polisi waliokuwa mbele yao.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents