Habari
Walichokizungumza ACT-Wazalendo baada ya Dkt. Mwigulu Nchemba kutumbuliwa (+video)
Chama cha ACT -Wazalendo kimeeleza baada ya Rais Magufuli kutengua nafasi ya aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Dkt. Mwigulu Nchemba na kumteua Mh. Kangi Lugola kushika nafasi yake.