BurudaniUncategorized
Walid aeleza sababu za Bongo Fleva kutochezwa sana Nigeria (+video)
Msanii Walid ambaye yupo chini ya lebo ya Patoranking ameeleza kiundani sababu za muziki wa Bongo Fleva kutochezwa sana kwenye vyombo vya habari vya nchini Nigeria. Tazama hapa chini mahojiano hayo aliyofanya na Bongo5 wiki hii.