Siasa

Wanachama Milioni 1,023, 911 wa CCM wamdhamini Rais Magufuli kupitishwa kwa fomu ya Urais (+Video)

Jumla ya wanachama Milioni 1,023, 911 wa  @ccm_tanzania wamejitokeza kumdhamini Mwenyekiti wao Rais @MagufuliJP katika fomu za kuwania kupitishwa na chama hicho kugombea nafasi ya Urais kwenye uchaguzi mkuu. Julai 11, Mkutano Mkuu wa chama utakutana kumpigia kura.

https://www.youtube.com/watch?v=Ge5QDFziDIo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents