Habari

Wanachuo wa Royal watembelea Mwananchi Communication

mwananchi_royal_tunaandika
Wanachuo  kutoka chuo cha uandishi wa habari na utangazaji cha Royal College of Tanzania, jana ijumaa walifaanya Tour ndogo kwenye kampuni ya magazeti la Mwananchi, Citizen na mwanasport yenye makao makuu yake relini maeneo ya Tabata.



Mwanachuo waliweza kujifunza mambo mengi juu ya kampuni hiyo inavyofanya kazi kuanzia Hard News mpaka kiwandani,  na hizi ni baadhi ya picha za mwanzo wanafunzi hao walipoanza safari mpaka kufikia kwenye kampuni hiyo.

mwananchi_royal_rais
Kazi ilianza kwa kupanda gari aina ya Coaster lakini ikawa ndogo sababu ya wanachuo hao kuwa zaidi ya 40
mwananchi_rolay_peter
Mwanafunzi Peter akishuka tayari baada ya kufika kwenye kampuni hiyo
mwananchi_royal_kundi
Hapa raisi wa chuo cha Royal Godwin  akiwa na baadhi ya wanachuo wenzake.
mwananchi_Royal_mo
kuanzia kushoto ni Mohamedi Mussa akiwa na mwalimu Mr Owenja, Mwanahawa na raisi wa Royal Godwin Mawanja
mwanancho_royal_mhariri_msaidizi
Mhariri msaidizi akitoa histori fupi ya kampuni hiyo, ambayo ilianza mikononi mwa Serikali kabla ya kuchukuliwa na wakenya.
mwanachi_royal_disign
Baadhi ya waandishi wakiwa kwenye pilika za kikazi,,
mwanachi_royal_wanafunzi
Wanachuo wakiendelea kujifunza hapa walikuwa graphics
mwananchi_royal_mwanasports
Hapa wakionyeshwa jinsi ya gazeti la Mwana sport linavyoandaliwa.. na moja ya elimu iliyotolewa hapo kwamba gazeti hilo yanatolewa ya aina mbili  moja kwa mauzo ya Tanzania na lingine kwaajili ya biashara Mombasa Kenya.
mwananchi_royal_picha
Hapa tulimaliza kazi kabla ya kwenda kitandani.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents