Aisee DSTV!
SwahiliFix

Wanafunzi waandamana, waiomba Serikali iwasaidie kujua ada zako zilipo, fahamu zaidi – Picha

Wanafunzi waandamana, waiomba Serikali iwasaidie kujua ada zako zilipo - Picha

Wanafunzi wa Chuo cha Ualimu Moshi kilichopo eneo la Kambi ya Nyuki wilayani Hai mkoani Kilimanjaro, wakiandamana kuelekea katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Hai wakiiomba serikali iwasaidie kujua zilipo ada zao.


Kwa mujibu wa Azam media: Wanafunzi hao wanadai kwamba wamelipiwa ada na wazazi, walezi wao lakini chuo kinadai kutozipata fedha hizo.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW