Habari

Wanaharakati wa Haki za Wanawake watoa msimamo wao sakala la rushwa ya ngono UDSM (Video)

Mashikirika mbalimbali yakutetea Haki za Wanawake nchini Tanzania yamefunguka kuzungumzia sakata la Rushwa ya Ngono lililoibuliwa na Mhadhiri wa Chuo Kikuu UDSM, Dkt Vicensia Shule . Wanaharakati hao ambao walikutania katika ofisi za Women Fund ni Ana Henda kutoka LHCR, Ms. Mary Rusimbi kutoka Women Fund, Janet Mawinza kutoka WAJIKI pamoja na mashirika mengine ya kutetea haki za wanawake.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents