Habari

Wananchi waombwa kupuuza taarifa zinazosambazwa kuhusu Dkt Kikwete

Ofisi ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete imeomba wananchi kupuuza taarifa za uzushi zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikihusu uvumi mbalimbali dhidi yake.

Soma taarifa kamili:

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents