Habari

Wanaofanya biashara ya Utalii kinyume na sheria wapewa onyo kali

Wizara ya Maliasili na Utalii imetoa onyo kali kwa wafanyabiashara wote wanaofanya baishara ya Utalii kinyume na sheria ikiwemo kutokuwa na leseni ya Maliasili na Utalii (TTBL),watu hao pia wamekuwa wakijihusisha na vitendo vya udanganyifu hivyo kuleta Taswira mbaya sekta ya Utalii.

Soma taarifa kamili:

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents