Burudani

Wanaomtaka Oprah awe Rais ndoto zao kuzimwa na NOprah?

Ikiwa ni wiki kadhaa zimepita tokea mwanamama Oprah atoe hutuba nzuri katika ugawaji wa tuzo za Golden Globe 2018, ambapo aliibua mjadala kuwa anaweza akagombea Urais wa Marekani mwaka 2020.

Kufuati hivyo mtu mmoja ameonekana kutopendezwa na hisa hizo na kumfanya aandae T-Shirt, jackets, shoes, pants na vinginevyo ambazo zinazosomeka “NOprah” kuonyesha kupinga hatua hiyoya Oprah kuliongoze taifa hilo ambalo kwa sasa linaongozwa na Rais Trump.

Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ umeelza kuwa mtu huyo aitwaye Lewis  ametengeneza vitu hivo ila bado ajaanza kuunza. Kuhus Oprah ameeleza kuwa hana sifa ya kuwa Rais, endapo ataamua kuwania nafasi hiyo.

 

Hutuba ya Oprah : “What I know for sure is that speaking your truth is the most powerful tool we all have. And I’m especially proud and inspired by all the women who have felt strong enough and empowered enough to speak up and share their personal stories. Each of us in this room are celebrated because of the stories that we tell, and this year, we became the story.”

Swali linabaki kuwa waliotamani mwanamama huyo kugombea nafasi ya Urais 2020 Marekani, ndoto zao zitazimika kwa harati za kumpinga zilizoanzishwa na mtu mmoja?

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents