Wanaotikisa usajili Ulaya hawa hapa, Sancho na Ramos ndani

Manchester United bado wanamtaka winga wa Borussia Dortmund na England Jadon Sancho na wanajaribu pia kusaini mkataba wa kumleta kijana huyo mwenye umri wa miaka 20 kabla ya mshindano ya michuano ya mwaka ujao ya kombe la Ulaya -European Championships. (90 min)

Manchester United 'in love' with Jadon Sancho, claims reliable journalist

 

Paris St-Germain watafanya dau kwa ajili ya mlinzi wa Real Madrid na Uhispania Sergio Ramos. Ramos mwenye umri wa miaka 34- Januari yuko huku wakifanya mazungumzo na klabu kuanzia tarehe mosi. (AS)Mbape

PSG pia wanajaribu kuongeza mikataba ya Mfaransa Kylian Mbappe, 21, na mshambuliaji Mbrazil Neymar, 28. (Goal)

Everton na Tottenham kwa pamoja zinataka kumsaini mshambuliaji wa timu ya Napoli Mpoland Arkadiusz Milik na kijana huyu mwanye umri wa miaka 26-anaweza kupatikana kwa pauni milioni 10 tu katika kipindi cha dirisha la uhamisho wa wachezaji mwezi wa Januari . (Sun)

Celtic wanataka kumsaini mlinda lango wa Manchester United na England Dean Henderson, 23, kwa mkataba wa mkopo mwezi Januari. (90 min)

Barcelona wanaangalia uwezekano wa kumchukua beki wa Arsenal na Ujerumani Shkodran Mustafi.Adama

Kiungo wa safu ya mbele Wolves na Uhispania Adama Traore, 24, anaamini kuwa hajakubaliwa kuanza kucheza mechi kwashababu amekataa kurefusha mkataba wake katika Wolves. Mkataba wake wa sasa unaendelea hadi 2023. (The Athletic)

Kijana huyo mwenye umri wa miaka 28-yni chaguo la pili la Barca kama hawataweza kumsaini mlinzi wa Chelsea Antonio Rudiger. (Express)

Beki wa zamani wa Chelsea na England John Terry, 39, ni mmoja wa watu wanaoweza kuchukua kazi mpya ya umeneja wa timu ya Derby County . (Mail)

Manchester United wamekuwa wakihusishwa na beki wa Sporting Braga Mreno David Carmo, 20. (The Athletic – subscription required)

Chelsea wameazimia kuwauza wachezaji ili kudhamini gharama ya kuhama kwa kiungo wa kati wa England ya pauni milioni 67 anayehamia West -Declan Rice, 21. (Express)d

Meneja wa Ufaransa Didier Deschamps anasema Olivier Giroud anapaswa kuhama Chelsea kama mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 34-iwapo atataka kulinda nafasi yake katika kikosi cha kimataifa. (Sun)

Leicester wameanzisha mazungumzo na beki wa Ireland Kaskazini Jonny Evans, 32, kuhusu mkataba mpya. (The Athletic)

Barcelona wako tayari kuwauza wachezaji wanne mwezi Januari – kiungo wa wa safu ya nyuma-kushoto Muhispania Junior Firpo, 24, kiungo wa kati Mfaransa Samuel Umtiti, 26, Mbrazil Matheus Fernandes, 22, na kiungo wa mashambulizi Mdenmark Martin Braithwaite, 29. (Sport)

Timu ya ligi ya Australia Melbourne Victory inatakla kumsaini mshambuliaji Rudy Gestede, mwenye umri wa miaka 312 kutoka Benin ambaye zwali alicheza mchezo mzuri katika klabu za Cardiff, Blackburn, Aston Villa na Middlesbrough. (The Age)

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW