Habari

Wanasiasa wajitokeza kuaga mwili wa mke wa Mzee Kingunge (+Picha)

By  | 

Viongozi mbalimbali wa Siasa wa jitokeza kuaga mwili wa Mke wa mwanasiasa Mkongwe, Kingunge Ngombale Mwiru. Nyumbani kwake Makumbusho jijini Dar es salaam.

Peras Kingunge (Mke wa Kingunge) alifariki dunia katika hospitali ya Taifa Muhimbili.

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments