Wanasoka 10 wenye mvuto zaidi duniani
Hii ni orodha ya wanasoka 10 wenye mvuto zaidi duniani kwa mujibu wa mtandao wa www.sokkaa.com. Orodha imepewa jina ‘Most Handsome Footballers in the World’
10. Mats Hummels-Borussi Drtmund
Ni mchezaji wa kijerumani anayechezea klabu ya Dortimnd ambaye ni nahodha wa kikosi hicho
9. Gerrard Piqué–FC Barcelona
Gerrard Pique anakamata nafasi ya tisa kwenye orodha ya wachezaji wa mpira wenye mvuto zaidi
8. Cesc Fabregas -Chelsea
Fabregas pia ni mwanaume mwenye mvuto na anashika namba nane kwenye orodha hii
7. Mario Gotze-Bayern Munich
Ni kiungo wa klabu ya Bayern Munich ambaye alipata heshima kubwa katika michuano ya kombe la dunia mwaka 2014 dhidi ya Argentina kwa kuifungia nchini yake Ujerumani goli peke la ushindi
6. Fernando Torres-Atletico Madrid
Fernando Tores a.k.a ‘El Nino’ ameshika nafasi 6 ni mchezaji ambaye huwavutia sana watoto wa kike kwa style ya nywele na umbo la mwili.
5. Van Persie-Fenerbahce S.K.
Robin van Persie ameshika nafasi ya 5 hivi sasa anakipiga katika klabu ya Fenerbahce S.K.
4. Iker Casillas–FC Porto
Iker Casillas ni miongoni mwa golikipa pekee katika list hii
3. David Villa–New York City FC
David Villa amengia kwenye orodha ya wachezaji wenye mvuto pamoja na style nzuri ya nywele zake.
2.Kaka–Orlando City FC
Ricardo Kaka anashika nafasi ya pili kwenye orodha hii
1.Cristiano Ronaldo-Real Madrid
Mchezaji wa mpira wa miguu mwenye mvuto zaidi duniani Cristiano Ronaldo wa klabu ya Real Madrid. Mvuto wa sura, style ya nywele na umbo zuri ni baadhi ya vitu vinavyowachanganya watoto wa kike