Bongo5 Makala

Wanaume: Skinny Jeans mnazovaa ni hatari kwa afya zenu!

Skinny jeans zinaweza kuwa zipo kwenye chart sasa hivi lakini angalizo ni kuwa zinaweza kuwa na madhara makubwa.
Jinsi hizo za kubana zinasababisha matatizo ya kende kupinda (twisted testicles), bladder weakness na maambuziki kwenye njia ya mkojo yaani urinary tract infections.

Matatizo mengine ni kupungua kwa manii (Low sperm count) na maambukizi ya fangasi ambayo yote husababishwa na jeans zinazobana.
Wanamuziki wengi nje na ndani huvaa sana jeansi za aina hii. Mfano mzuri ni Bob Junior na wasanii wa kundi la Wakacha.

Mtandao wa Global Grind umezungumza na Dr. Hilary Jones ambaye ameelezea hatari iliyopo kutokana na uvaaji wa jeansi hizo. “I have seen several cases of men who have twisted their testicles due to wearing jeans that are far too tight. My advice would be to make sure you leave plenty of room around the groin area and that your pants and trousers feel comfortable so you’re not being restricted in any way. Wearing tight-fitting clothing over a prolonged period of time can lead to urinary tract infections leading to over-activity of the bladder – a type of bladder weakness as well as a low sperm count and fungal infections. Please don’t put style before health.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents