Michezo

Wanawake wajawazito kukosa Olimpiki Brazil

Mashindano ya Olimpiki mwaka 2016 yata fanyika Brazil katika Jiji Rio De Jeneiro mwezi Agosti Wanawake wajawazito wameshauriwa kutosafiri kwenda kushuhudia kwa sababu ya hatari ya virusi vya Zika.

160122143920_rio_olympics_640x360_ap_nocredit

Serikali ya Brazil imesema kuwa hawashauri wanawake wajawazito kwenda kwenye michezo ya Olimpiki.

Hatua hii imekuja punde baada ya shirika la afya duniani WHO kutangaza hali ya dharura kutokana na madhara yatokanayo na virusi vya Zika.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents