Burudani

Wanawake wanne waliomzalia watoto 7 rapper Lil Boosie waanzisha reality show yao

Wanawake wanne waliomzalia watoto rapper aliyetoka jela hivi karibuni, Lil Boosie wameanzisha reality show yao.

031314-lil-boosie-realityshow-launch-1

Vyanzo vimeuambia mtandao wa TMZ, kuwa wanawake hao wa Boosie, Walnita, Tracey, Trivia, na Gerlissa wametayarisha episode ya majaribio miezi kadhaa iliyopita wakati rapper huyo alikuwa jela. Kwa pamoja wamemzalia rapper huyo watoto saba wenye umri wa kuanzia miaka 4 hadi 11.

DSC_0635
Lil Boosie

Show hiyo itakuwa ikiangalia urafiki usio wa kawaida wa wake wenza hao na haijulikani kama rapper huyo ambaye jina lake ni Torrence Hatch atakuwa akionekana pia.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents