Wanawake watatu wapewa talaka kisa uchaguzi Zanzibar (Video)

Oktoba 28 mwezi uliopita ilikua ni Uchaguzi Mkuu ambapo Watanzania walichagua viongozi mbalimbali akiwamo Rais, wabunge na madiwani.

Wakati wananchi wengi wangali na furaha kutokana na uchaguzi huo kwisha kwa salama na amani, lakini baadhi ya familia wilayani Wete Kisiwani Pemba zimekosa amani kutokana na uchaguzi huo.

Hii ni baada ya wanawake watatu kupewa talaka kwa nyakati tofauti kwa kile kinachoelezwa kwamba walikaidi amri za waume wao walipotakiwa wasiende kituoni kupiga kura, wao wakaenda.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW