Awards

Wapigie kura Jay Moe na P-Funk katika Kili Music Awards 2012


Jay Moe na P-Funk wanaomba kura zenu katika Kili Tanzania Music Awards 2012, wimbo wao wa Famous umefanikiwa kuingia katika kinyanganyiro cha Wimbo Bora wa Hip Hop (kupiga kura tuma SMS yenye neno J1 kwenda 15747) na kinyanganyiro cha Wimbo Bora wa Kushirikiana (kupiga kura tuma SMS yene neno Z1 kwenda 15747).

Sikiliza wimbo wa Famous:

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents