Habari

Wapo pia CCM ambao ni majizi, kuliko hata CHADEMA- Rais Magufuli (+video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuwa maendeleo hayana chama, kwani hata ndani ya chama chake cha CCM kuna baadhi ya viongozi ni wezi, pengine kuliko hata watu kutoka kwenye vyama vya upinzani.

Rais Magufuli ameyasema hayo leo Januari 18, 2019 kwenye hafla ya makabidhiano ya mfumo mpya wa kusimamia uwazi katika mawasiliano ya simu (TTMS), Makao Makuu ya TCRA, Dar es salaam.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents