Warembo wanusurika kifo

Washiriki watano wa Miss Tanzania 2010 walinusurika kifo jioni hii baada ya boti waliyokuwa wamepanda kupindukia baharini karibu na hoteli ya Giraffe.

Kwa bahati nzuri wote walisalimika lakini walikuwa na hali ya mshtuko huku presha zikiwapanda. Kilichoshangaza wengi  ni ukosefu wa askari wa majini na huduma ya kwanza kwa washiriki hao.

Mpaka sasa hajapatikana msemaji kutok kamati ya Miss Tanzania kuweza kulizungumzia suala hili.

Picha kwa hisani ya mdau wetu Amby

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents