AFCON 2019 Tupogo!
Vodacom Data Datani!

WASAFI FESTIVAL: Wolper alivyong’ang’aniwa na mwanaume jukwaani Morogoro (+Video)

Katika tamasha la wasafi Festival linaloendelea katika baadhi ya mikoa nchini Tanzania,limeweza kuwa na hamasa kubwa kwa vijana kwa kuonyesha mabadiliko katika tasnia ya burudani nchini.

Tamasha hilo tayari limefanyika katika mikoa mitatu ambayo ni Mtwara,Iringa na Morogoro, na katika tamsha lililofanyika Morogoro kuliibua tafrani baada ya msanii muigizaji Jacklini Wolper kumpandisha mwanaume Jukwaani.
Mwanaume huyo ambaye Wolper alimuita na baadaye mwanaume huyo aliamua kumganda Wolper mpaka pale Wolper alipomkumbatia ndio aliondoka.
Wolper aliitwa jukwaani na Steve Nyerere kwa ajili ya kwenda kuwapandisha Navy Kenzo jukwaani.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW