Shinda na SIM Account

Wasanii 10 wa Dudu Baya waliofanya vizuri 2017 (Video)

Msanii mkongwe wa muziki wa hip hop, Dudu Baya ameachia list ya wasanii wake 10 wa muziki waliofanya vizuri ndani ya mwaka 2017. Rapa huyo aliimbia Bongo5 kuwa namba moja kwake ni Jux huku Alikiba na Diamond wakipewa namba 9, 10. Je wewe list yako ikoje?

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW