DStv Inogilee!

Wasanii 8 wa Bongo Fleva watoka kapa tuzo za AFRIMMA 2018, Uganda na Kenya waiwakilisha vyema Afrika Mashariki

Leo alfajiri kulikuwa na sherehe za utolewaji wa tuzo za AFRIMMA 2018 Mjini Dallas, Texas Marekani ambapo tumeshuhudia kwa mara nyingine Wasanii kutoka Tanzania wakishindwa kufurukuta Licha ya kutajwa kwa wingi kwenye tuzo hizo.

Khaligraph Jones

Tanzania ambayo ilikuwa inawakilishwa na wasanii kama Alikiba, Nandy, Vanessa Mdee, Ommy Dimpoz, Harmonize, Navy Kenzo na Jux wote wameshindwa kuchukua tuzo hizo isipokuwa Diamond aliyechukua tuzo moja ya kolabo ya mwaka kupitia African Beauty.

Afrika Mashariki wengine waliotamba ni Khaligraph Jones kutoka Kenya ambaye ameshinda tuzo kwenye kipengele cha ‘Rap African Act’ huku Eddy Kenzo na Ykee Benda  kutoka Uganda wakichukua tuzo ya ‘Best Male East Africa’ na ya Msanii chipukizi.

Wengine walioshinda ni Fally Ipupa kakwara tuzo mbili ya Msanii bora wa mwaka na ile ya Leadership In Music.

Yemi Alade, Wizkid na Mr. Flavour hao wameshinda tuzo moja moja kwenye usiku huo uliokuwa unasubiriwa kwa hamu na mashabiki wa muziki.

Licha ya kuwa Harmonize hajashinda tuzo, lakini alikuwa ni moja ya wasanii waliotumbuiza kwenye usiku huo wa ugawaji wa tuzo.

Wengine waliokuwa wanaiwakilisha Tanzania ni DJ-D Ommy, Tudy Thomas na Moses Iyobo ambaye alikuwa anawania kipengele cha Mtumbuizaji bora wa Mwaka.

Tazama orodha kamili ya washindi wa tuzo hizo.

AFRIMMA 2018 Awards & Music Festival Full WINNERS List

Best Male West Africa

Davido – Winner

Best Female West Africa

Yemi Alade – Nigeria -Winner

Best Male East Africa

Eddy Kenzo – Uganda – Winner

Best Female East Africa

Sheebah Karungi – Uganda – Winner

Best Male Central Africa

Fally Ipupa – Congo – Winner

Best Female Central Africa

Daphne – Cameroon – Winner

Best Male Southern Africa

Nasty C – South Africa – Winner

Best Female Southern Africa

Ammara Brown – Zimbabwe – Winner

Best Male North Africa

Ihab Amir – Morroco – Winner

Best Female North Africa

Souhila Ben Lachhab – Algeria – Winne

Best African Group

Toofan – Togo – Winner

Crossing Boundaries With Music Award

MHD – Guinea/ France – Winner

Best Gospel

Papa Dennis – Kenya – Winner

Best Newcomer

Ykee Benda – Uganda – Winner

Artist of The Year

Fally Ipupa- Congo – Winner

Best Live Act

Flavour – Nigeria – Winner

Best Video Director

Godfather Productions- South Africa – Winner

Best Dj Africa

Dj Dollar – Senegal – Winner

Best African Dj USA

Dj Ecool – Nigeria  – Winner

AFRIMMA Video of The Year

Wizkid – Soco – Winner

Music Producer of The Year

Masterkraft – Nigeria – Winner

Best African Dancer

Diddi Emah – Nigeria – Winner

Best Rap Act

Khaligraph Jones – Kenya – Winner

Best Collaboration

Diamond Platnumz ft Neyo – African Beauty – Winner

Song of The Year

Wizkid – Soco – Winner

Best Lusophone

Kyaku Kyadaff – Angola – Winner

Best Francophone

Toofan – Togo -Winner

Best African Dancehall/Reggea Act

Burnaboy – Nigeria – Winner

AFRIMMA ACHIEVERS AWARD

Bismack Biyombo – DRC – Winner

HONORARY CATEGORIES

AFRIMMA HUMANITARIAN AWARD

Flavour

AFRIMMA SHINING STAR AWARD

Semah

AFRIMMA BEACON OF HOPE AWARD

Queen Julie Endee

AFRIMMA EXCELLENCE AWARD

Erykah Badu

AFRIMMA LEADERSHIP IN MUSIC AWARD

Fally Ipupa

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW