Soka saa 24!

Wasanii kuzindua katiba

100_7627

Katibu wa Chama cha wasanii wa filamu Tanzania  TDFAA , Mussa amesema jumasmosi hii, chama hicho  kinataraji kuzinduliwa rasmi katiba ya chama hicho na kukitambulisha kwa wasanii wote.


Wasanii wanaamini kwamba wakati huu kwao ni sawa na wakati wa mapinduzi kutokana na  hatua hiyo waliyoifikia, pia wanawomba wasanii wenzao wote wajitokeze, ili  kuchukua fomu kwa kujiunga na chama hicho, ambacho kitakuwa kikilinda haki zao.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW