BurudaniVideos

Wasanii nchini waachia video ya katuni ya wimbo ‘Tokomeza Zero’

Wasanii maarufu wa muziki nchini wanaoguswa na hali ya elimu nchini Tanzania wameachia video ya kipekee ya wimbo wa Tokomeza Zero wenye lengo la kuelimisha, kuburudisha na kuitaka jamii nzima kuipa kipaumbele sekta ya elimu.

Wimbo huo umeimbwa na Mwasiti, Linah, Roma, Stamina, Maunda Zorro, Peter Msechu, Mwana FA, Linex, Keisha, Diamond na Kala Jeremiah.

Related Articles

Leave a Reply

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents