Burudani

Wasanii niliowataja kwenye ‘Aje’ walikuwa hawajui – Alikiba

Baada ya kuachia wimbo wa ‘Aje’ kumbe wasanii waliotajwa kwenye wimbo huo walikuwa hawajui kwa mujibu wa Alikiba.

alikiba1

Wimbo wa ‘Aje’ hauna muda mrefu tangu Alikiba ameuachia lakini umezidi kufanya vizuri kwenye TV na Radio huku kwenye mtandao wa Youtube video yake ikiwa imeshatazamwa zaidi ya mara laki nane.

Akiongea kwenye kipindi cha FNL, kinachoruka kupitia EATV, Alikiba alisema, “Wenyewe walikuwa hawajui kuwa nimewaimba.”

“Wema nilimwambia siku moja kuwa bichwa nina suprise yako, ila Lulu sikuwahi kumwambia na hata sijui ameipokeaje, ila naamini kaipokea fresh,” aliongeza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents