Aisee DSTV!

Wasanii wa Bongo Movie, Irene Uwoya na Steve Nyerere waitikia wito wa Basata, wafika ofisini mapema (+ Video)

Wasanii wa Bongo Movie, Irene Uwoya na Steve Nyerere waitikia wito wa Basata, wafika ofisini mapema (+ Video)

Waigizaji wawili wa filamu, Irene Uwoya na Steve Nyerere wameitikia wito wa BASATA uliotolewa jana ukiwata wawili hao kufika katika ofisi hizo kujieleza kuhusu tukio la kuwarusha fedha waandishi wa habari siku ya Jumatatu ya wiki hii.

Tukio hilo lilipelekea baadhi ya waandishi kuharibiwa vitu vyao na wengine wakidai kuwa tulip hilo limewadhalilisha waandishi.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW