AFCON 2019 Tupogo!
Vodacom Data Datani!

Wasanii wa filamu na Bongo fleva waupamba uzinduzi wa Zuku Tv

Zuru_Tv_Kanumba

Wasanii mbalimbali jana walikusanyika katika uzinduzi wa stesheni ya tv ya Zuku Tv katika Hoteli ya Golden Tulip, sherehe hiyo iliudhuriwa na wajumbe mbalimbali wa sector ya mawasiliano walishiriki pamoja na watu mbalimbali waliokuja kushuhudia uzinduzi huo.

 

 zuru_tv_Anti

(Anti Ezekiel akiwa na Monalisa katika moja ya pozi katika uzinduzi wa Zuku Tv pale Golden Tulip)
Mwenyekiti wa wa Mwananchi Group Bw Ali Mufukuru, aliizindua Zuku Tv kwa kubonyeza remonti na televisheni zote zilizopo hapo ukumbini kuonyesha vipindi  mbalimbali vya Zuku ikifuatiwa na maonyesho ya Fataki.

zuri_tv_bukuku

(Kweli mpiga picha naye hupigwa, Bukuku akiwa anarainisha koo, wakati wa uzinduzi wa Zuku Tv.)

Televisheni ya Zuku itakuwa inatoa uchaguzi mpana wa stesheni za burudani ikiwa ni pamoja na habari, Michezo na sinema, majarida na muziki. Hivi vinajumuisha chaneli za nje, kama vile BBC, MTV Base,Sentanta Sports, MGM Movies na zingine.

zuru_tv_ay

( Mkali wa Afrika mashariki na kati katika staili mzima ya uimbaji wa Twista, Abwene Yesaya aliyevaa kofia nyeusi akiwa na rafiki zake, katika uzinduzi wa Zuku Tv)
Msambazaji atatoa hofa kabambe za stesheni kama vile Zuku Afrika, ambayo huonyesha bara la Afrika, Zuku Life, ambayo huonyesha Docomentari mbalimbali, Zuku Sports pamoja na Chaneli kibao za Sinema. Huduma hii ya Zuku Tv itapatikana kupitia Satelait Tanzania nzima

Zuru_tv_Cloud_112

Cloud 112, akiwa kwenye pozi na kimwana wa Bongo Movie

zuru_tv_fa

Ngosha ama Fid Q akiwa na mwana Fa kwenye pozi wakisubiri zamu yao ya kupanda jukwaani katika uzinduzi wa  Zuku Tv

Zuru_Tv_jb_na_anti

Mwigizaji wa filamu akiwa ametulia na mwigizaji mwenzake mwenye mvuto wa kipeee Ant Ezekiel.

zuru_tv_linex

Linex akijiachia na wasanii wenzake

zuru_tv_mkubwa

 Mkubwa na wanawe, akiongozwa na meneja wao Yusuph, Aslay, Mr India na Mohamedi katika pozi

zuru_tv_natasha

Mama yake na Monalisa, Natasha

zuru_Tv_Roma

Roma mkatoliki, akikamua wakati wa tamasha la uzinduzi wa Zuku Tv

 zuru_tv_choka

zuru_tv_wazungu

 

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW