Bongo Movie

Wasanii wa filamu Tanzania kuja na ‘siku ya mastaa wa filamu’

Bongo Movie_1

Wasanii wa filamu nchini wanatarajia kufanya tamasha kubwa lililopewa jina la ‘Siku ya mastaa wa filamu Tanzania.Tamasha hilo litafanyika tarehe 26 January kwenye viwanja vya Dar Live jijini Dar es Salaam.

Lengo la tamasha hilo ni kuchangia ofisi za shirikisho la filamu Tanzania( TAFF) ambapo kutakuwa na burudani mbalimbali kutoka kwa bendi ya Twanga pepeta, Tunda Man, Vitalis Maembe, Shilole, Snura, Kitale, Joti, Mpoki na wengine.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents