Habari

Wasanii wa filamu wafutwa machozi na Waziri Mwakyembe, kanuni mpya zatangazwa (Video)

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini Tanzania, @harrisonmwakyembe wametangaza mabadiliko ya sheria mbalimbali za Bodi ya Filamu ili kuchoche maendeleo ya tasnia ya filamu nchini Tanzania. Mwakyembe amesema Tanzania kushika nafasi ya pili Afrika kwa kuzalisha filamu huku nafasi ya kwanza ikiongozwa na Nigeria ambapo amedai kupatikana kwa nafasi hiyo ni juhudi za wasanii binafsi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents