Bongo Movie

Wasanii wa Komedi wajiandaa kujisajili

Wasanii_komedi_face

Waigizaji wa Komedi wameanza mikakati ya kujichangisha ilikukomaza chama chao kwa kukifanyia usajili BASATA, iliwaweze kutetea haki zao ambazo zimekuwa ngumu kuzipata kutokana na watu wachache kulimiliki gemu la filamu nchini.

 

 

Asema Mboto kwamba wasanii wa filamu lazima wote waungane kwa hii itakuwa kwaajili ya manufaa ya wasanii wote.

Wasanii_komedi_2Wasanii_Komedi

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents