Soka saa 24!

Wasanii wa ndani wafunika Fiesta

Serengereti_daimond

MWANAMUZIKI Dimond akiwa stejini, naaye alikuwa ni miongoni ya wanamuziki ambao walifanya vizuri katika tamasha la Serengeti Fiestya 2011, ambapo aliungana na wasanii wengine wa Tanzania kufanya Show mzuri katika kuwakilisha wasanii wa ndani.

 


Stori na picha zaidi angalia kurasa iliyopia na video anagalia kwenye Bongo5 Video, kuona kazi nzuri ya wasanii wa ndani jinsi walivyoweza kuwakilisha muziki na kuonyesha jinsi walivyokuwa katika sanaa ‘hiyo na jukwaani kwa ujumla.

 

Serengeti_chidi

Serengeti_Dully
Dully akiwa na mpambe wake
serengeti_fid_q
Farid Kubanda maarufu kama Fid Q, akimalizia malizia jukwaani kabla ya kupanda Ludacris
Serengeti_Gadner
Captain Gadner akipokea tuzo kwaajili ya Lady Jay Dee
Serengeti_juma
Nature!!! hakika naye alifanya vizuri.
serengeti_linah

Captain na Linah wakiwa jukwaani kwa pamoja

{hwdvideoshare}id=1539|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

{hwdvideoshare}id=1540|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

{hwdvideoshare}id=1541|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

{hwdvideoshare}id=1544|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

{hwdvideoshare}id=1545|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW