Habari

Wasanii wajiunga na CHADEMA

Baada ya Nakaaya Sumari kuingia rasmi CHADEMA wasanii wenzake maarufu nchini Tanzania Joseph Mbilinyi  aka Sugu, Fred Malick aka Mkoloni na Gerald Mwanjoka aka G Solo wamejiunga rasmi na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kukabidhiwa kadi zao za uanachama.

 

Tukio hilo limefanyikai katika Ofisi za Makao Makuu ya CHADEMA, zilizopo Kinondoni, jijini Dar es Salaam.

Pichani ni wanamuziki hao na Kaimu Katibu Mkuu na Mkurugenzi wa Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mnyika.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents