Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Wasanii watatu Bongo wala shavu katika albamu ya Khaligraph Jones

Leo June 12, 2018 ndipo rapper kutoka nchini Kenya, Khaligraph Jones anaachia albamu yake.

Albamu hiyo inayokwenda kwa jina la Testimony1990 ina nyimbo zipatozo 17. Wasanii watatu kutoka kwenye Bongo Flava wamesikika katika albamu hiyo.

Wasanii hao ni Ray C, Roma na Stamina ambao wanaunda kundi la Rostam.

Licha ya wasanii hao, utakumbuka Khaligraph Jones ameshafanya kolabo na wasanii kadhaa kutoka Bongo kama Rosa Ree, Chin Bees, Stereo, Christian Bella, Rayvanny na Nikki Mbishi.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW