Tia Kitu. Pata Vituuz!

Washiriki Redd’s Miss Tanzania 2012 watembelea mapango ya Amboni


Washiriki wa Shindano la Redds Miss Tanzania 2012, wamekamilisha rasmi ziara yao ya kujionea vivutio vya utalii kwa vitendo Kutembelea Mikoa ya Kanda ya Kaskazini ya Arusha, Manyara, Moshi na Tanga.

Warembo hao wakiwa katika mapango hayo ya kale ya Amboni Tanga waliweza kujionea vitu mbalimbali ambavyo ni vya kipekee na vyakuvutia vilivyopo katika mapango hayo ya asili ya zama za kale.

Miongoni mwa vitu vilivyopo huko kwenye mapango hayo ni sanamu za aina mbalimbali za Bikira Maria, Maandiko ya Quran, Daraja, sanamu za jinsia ya kike na kiume, chui, na vitu vingine mbalimbali vya kuvutia.

Angalia picha za ziara hiyo ya Mapango ya Amboni.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW