Burudani ya Michezo Live

Watalii waliotoka Oman mpaka Tanzania kwa gari wamshukuru Fid Q (Video)

Watalii kutoka Oman Dream Team Explores amemshukuru rapa FIQ Q pamoja na Bodi ta Utalii Tanzania kwa kuifanya safari yao ya gari kutoka Oman kuja Tanzania kuwa rahisi zaidi. Kabla ya kuanza safari yao ambayo imepita kwenye nchi 6, waliwasiliana na rapa huyo ili kuangalia uwezokano wa kuwa na mtu wa karibu ambaye ataongeza katika safari zao wakiwa ndani ya nchi.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW