Burudani

Watanashati waamua kurudia video mpya ya PNC-Imebuma

Kampuni ya Mtanashati Entertainment imeamua kurudia video ya wimbo mpya wa PNC, Imebuma kwasababu kampuni iliyofanya video hiyo imeifanya chini ya kiwango na kuzingatia maoni ya watu.

Kwa niaba ya uongozi wa Mtanashati, Dogo Janja ametoa taarifa hiyo kupitia Facebook kwa kuandika:

NASIMAMA KWA NIABA YA Ostazi Juma namusoma ni kwamba now ndo tumerudi home tulikua location siku nzima samahanini sana mashabiki wetu wa mtanashati tunawapenda na tumeamua kufuata ushauri wenu na kuzijudge comment zenu kuhusu video ya PNC SHINO-imebuma brand new track yake kwamba wimbo ”AUDIO” ni mzuri sana ILA ILE VIDEO ILIKUA more than mbayaaaaaaaaaaaaaaaaa yaaani ”SI NZURI” so, kosa sio letu ila kosa lilikua la director ambaye alieshoot video ya PNC ‘Abbykaz” chini ya kampuni yake ya ‘IMAGE ARRAY VISION’ kwani yeye ndo alikua mpango mzima kwenye video hiyo.Ia amekuta akikifanya kitu simple na kudhani ni easy easy kama kupika vitumbua KAMA COMPANY YA MTANASHATI TUMEAMUA KURUDIA VIDEO YA PNC SHINO- IMEBUMA NA COMPANY YA APEX VIDEOS CHINI YA DERECTOR PABLO na kiukweli mi mwenyewe nimefurahia video maana nilikua location na pia nimeshuhudia video.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents