Habari

Watanzania waanzisha radio na kampuni kubwa ya habari Marekani GENN, kufungua tawi Tanzania

Watanzania wawili waishio nchini Marekani, wameanzisha radio na kampuni ya habari iitwayo Global Entertainment and News Network, GENN.

4

Radio ya GENN inasikika kwenye majimbo ya Kansas, Connecticut na New York na pia wanasikika online.

Akiongea na Bongo5, CEO wa kampuni hiyo Agak John aliyepo Kansas, Marekani amesema, “this is new radio ndio tumeanzisha mi ndo CEO tupo hewani on FM in US few States na ustrean tuna website under work ko-bricks ent imeshafanya kazi kwa muda kidogo tuna establish hapa kidogo tunataka iwe full TV ,radio media network ya TZ, tuna wadhamini tayari sasa tunataka support yenu watanzania tunakuja.”

2

3

“Nipo ubia mtanzania mwenzangu wa Kansas jina ni Robert Otto kutoka Keko, tunafanya mambo hapa.”

Isikilize live GENN hapa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents