Burudani

Watanzania wanapenda sana bata, Diamond ni mkubwa Afrika Mashariki – Rapa AKA (+video)

Rapper AKA kutoka Afrika Kusini amefunguka kwa mara ya kwanza kupitia Bongo5, utofauti uliopo kati ya muziki wa Afrika Kusini na Tanzania na mtindo wa maisha kati ya Tanzania na Afrika Kusini.

AKA amesema kuwa Watanzania na Watu wa Afrika Kusini wote wanapenda sana Bata na pia ni watu wanaochangia tamaduni.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents