Burudani

‘Watasema’ ya OMG na Quick Rocka ni utambulisho wa hiki hapa

Imeelezwa Ngoma mpya ya kundi la OMG pamoja na Quick Rocka ni utambulisho wa label ya Switch Music Group (SMG).

Quick Rocka ameiambia Dj Show ya Radio One kuwa wasanii wote waliosikika katika ngoma hiyo ndio walio ndani ya label hiyo kwa sasa.

“Project Watasema ni kama utambulisho official wa label, yaani member wote wa label ya SMG tumefanya pamoja coz mwanzoni miezi miwili mitatu tumeachia Ungo Na Umbea ya OMG waliyokuwa wamemshirikisha Barakah The Prince. Mimi nikatoa Down nikiwa nimemshirikisha Mimi Mars, so this time around tumekuja na ngoma ya pamoja ya label yote,” amesema Quick Rocka.

By Peter Akaro

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents