Bongo Movie

‘Watasubiri sana’ asema Irene Uwoya huku akionesha ‘Range Rover’ yake mpya kwenye Instagram (picha)

Ukikutana na Irene Uwoya anaendesha Range Rover nyeusi, usifikiri ameazima, ni ya kwake na kwa mujibu wa maneno yake mwenyewe, ‘haters watasubiri sana’.

0713472e3e5211e396f322000ae908d3_8

Irene ameshare picha akiwa amepiga juu ya Range Rover hiyo mpya, ambayo yeye anaiita ‘My Baby’ na kuandika maneno ya ‘kuumiza roho’ kuwakata kilimi wale wanaomdhania kuwa yupo ‘cheap’.

3acbe8643e5211e3838722000ae910b6_8

“Acha nifurahiiii banaaa…..sio mchezo,” ameandika muigizaji huyo.

Kwenye picha nyingine aliyolala juu ya gari hilo na kuyaacha mapaja yake wazi yaliyowatoa ‘udenda’ wanaume wenye uchu, Irene aliandika ‘I don’t care..’

aecd0b023e6211e39bf922000ab5b971_8

7fe5658c3e6211e3b45022000a1fb3cd_8

Bongo movie inalipa..

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents