Muimbaji wa Kenya, Akothee anaendelea kudondosha kigongo baada ya kigongo. Baada ya mafanikio makubwa ya nyimbo alizowashirikisha Diamond na Flavour, Akothee usiku wa leo anaachia video ya wimbo wake mpya, Tucheze. Video imefanyika Afrika Kusini huku wimbo ukitayarishwa na Masterkraft.
Join our mailing list to get the latest news!
Related Articles
Check Also
Close
-
Tanzia: Baba yake mzazi na Belle 9 afariki dunia kwa kugongwa na boda bodaApril 18, 2017 - 10:18 am