Habari

Watoto 500 wenye matatizo ya moyo wakwama Muhimbili, Makonda atoa milioni 120 upasuaji wa watoto 60 (Video)

Watoto hao ni wale wanaotoka katika familia za chini ambapo Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amewaomba wadau kumuunga mkono ili watoto hao wapate matibabu na wao waendelee na maisha.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents